NYOTA YA MTANZANIA
Blog Ya Kuweza Kupata Mafanikio Kwa kila MtanzaniaKUHUSU NYOTA YA MTANZANIA
NYOTA YA MTANZANIA ni blog inayotoa uchambuzi wa mambo mbali mbali ya maisha. Ni blog inanayoweza kumpatia mafanikio kila Mtanzania.
Nyota Ya Mtanzania itakupatia maarifa yatakayoweza kukusaidia kufikia mafanikio makubwa katika maisha yako. Mtandao huu ni mtandao unaomuandaa na kumkomboa kila Mtanzania kufanikisha safari yake ya mafanikio. Kupitia mtandao huu utapata ushauri na mafunzo yanayuhusu maisha ya kila siku ya mtanzania. Mtandao huu una lengo la kukupatia mbinu bora. Mbinu hizi zitakazokuwezesha kufikia mafanikio makubwa katika kazi zako na maisha yako binafsi.
Kupitia blog hii nitatumia utaalamu nilionao kutoa mchango wangu kwa Watanzania. Mtandao huu utahusisha katika kutumia uzoefu nilionao katika masuala ya elimu. Mtandao utatoa elimu itakayowafanya Watanzania wawe na maisha bora. Mtandao utajikita kama njia ya mawasiliano kwa watu mbali mbali kwenye ulimwengu wa taarifa.
HUDUMA ZA NYOTA YA MTANZANIA
Kupitia blog hii utanufaika na huduma zifuatazo;
- Makala mbali mbali zinazohusu maisha, hamasa,kazi na biashara.
- Ushauri wa maisha kutokana na changamoto tunazozipitia.
- Mafunzo ya kilimo na mifugo.
- Ushauri wa kilimo na mifugo
MAWASILIANO
Kwa mawasiliano zaidi kuhusiana na blog hii tafadhali wasiliana na
Ali Khamis, mmiliki wa blog hii kupitia:
SIMU: +255784498867
AU : +255766194913
EMAIL: ali76khamis@yahoo.com
KARIBU NYOTA YA MTANZANIA JISIKIE UKO NYUMBANI UFANIKISHE NDOTO ZAKO
0 comments:
Chapisha Maoni
Asante Sana Na Karibu Tena